19 April 2015
KIKUNDI KILICHOJITENGENEZEA AJIRA KWA KULIA KWENYE MISIBA HUKO KENYA WAMETOA GHARAMA ZAO ZA MWAKA 2015
10:44
No comments
Ama kweli, kipaji chako au ubunifu wako ni ajira yako.
Hiki ni kikundi kijulikanacho kwa jina la The Kisumu Professional Mourners, kilichoitengenezea ajira kwa kulia kwenye misiba huko Kenya.
THE KISUMU PROFESSIONAL MOURNERS
A group of man and women of kisumu who are paid
to cry in funerals have released their new charges for this year.
HAWA NI WACHUNGAJI MBALIMBALI WA HUDUMA YA HOPE FOR ALL NATIONS, INAYOONGOZWA NA ASKOFU MKUU CHARLES JANGALASON
10:34
No comments
Hangera sana rafiki yangu Askofu Charles Jangalason na mkeo, kwa hatua hii.
Pastors of Hope For All Nations
Ministries from Tanzania and Malawi at the assembly photo with Bishop Of that
Church, Charles Jangalason. the photo was taken on the last day of seminar at
the Headquarters of HOFAN MINISTRIES Tegeta " "A", Goba, Dar es
Salaam. Those seated are the Executive Committee (Head Ofice) of HOFAN.
12 April 2015
8 April 2015
MCHUNGAJI AMNYWESHA MUUMINI WAKE BIA ILIYOFANYIA MAOMBI
14:24
No comments
Mchungaji wa kanisa la Ufunuoa la Mungu wa Bendera lililoko
Ushirombo wilaya ya Bukombe mkoa wa
Geita, Heryyabwana Majebele, akimnywesha muumini wake bia iliyofanyiwa maombi
wakati wa ibada ya ijumaa kuu juzi, ili asinywe wala kutamani pombe tena!
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
