8 April 2015

MCHUNGAJI AMNYWESHA MUUMINI WAKE BIA ILIYOFANYIA MAOMBI



Mchungaji wa kanisa la Ufunuoa la Mungu wa Bendera lililoko Ushirombo wilaya ya  Bukombe mkoa wa Geita, Heryyabwana Majebele, akimnywesha muumini wake bia iliyofanyiwa maombi wakati wa ibada ya ijumaa kuu juzi, ili asinywe wala kutamani pombe tena!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP