22 March 2015

HATIMAYE MWIMBAJI WA INILI TANZANIA ANGELA BERNARD AVISHWA PETE YA UCHUMBA




 Angel akiwa amepiga goti la heshima, huku akiwa ameaa furaha, huku mchumba wake akimvisha pete taratiiiiiiiiibu!



Star wa Gospel Tanzania Angel Benard avishwa pete ya uchumba na Muimbaji wa Gospel na Manager wa Doxa Music Management Sakafu Godsave kijana kutoka Arusha.
Tukio hili la uvalishwaji wa pete limefanyika nyumbani kwa Mama mzazi wa Angel Benard…..Mbezi Tangi Bovu. Shughuli hii ilianza majira ya saa kumi jioni na kumalizika saa moja kamili usiku.
Watu mbalimbali pamoja na baadhi ya waimbaji wa muziki wa Gospel walikuwepo kumsindikiza Angel Benard katika tukio hili.
Chanzo: unlejimmytemu.com

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP