24 May 2015

IBADA ZA WATU KUVUA NGUO ILI WAPOKEE UPAKO



 Kiongozi wa huduma ijulikanayo kwa jina la End tmes Disciples Ministries ya huko South amekuwa akiwaambia washirika wake wawe wanavua nguo zote ili waweze kupata fresh anointing.

Jambo la kujiuliza mbona yeye havui?na hii fresh anointing kwanini asilimia kubwa wawe wanawake tu?


 Mchungaji huyo ajulikanaye kwa jina la Mtume Penuel, huwavua nguo waumini wake na kuwakalia. Kanisa hilo ambalo asilimia 95 ya waumini wake ni wanawake wengi wakiwa ni vijana, mara nyingi hulazimika kuvua nguo zao wakati wa ibada ya kufunguliwa kutokana na vifungo mbalimbali vya ibilisi.


Nadhani unamfahamu Mchungaji huyo, ambaye siku za karibuni aliwalazimisha waumini wake kula majani.

Asomaye na afahamu!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP