THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

28 September 2016

JIFUNZE AINA NNE ZA MARAFIKI

(Rafiki mzuri atakufanya uwe na furaha, tabasamu na kicheko) Nilipokua nikijifunza somo la saikolojia hasa kwa habari za mahusiano, somo hili lilinisaidia sana kujihepusha na marafiki wasikua na tija katika maisha yangu. Acha nikusaidie pia; UTANGULIZI Katika lugha ya kingereza kuna Mithali moja inasema “A Friend in need is a friend indeed” kwa maana ya“Rafiki anayakutafuta ndiye rafiki wa kweli.Ni dhahiri kwamba hapa duniani kuna marafiki...

16 September 2016

VIDEO MPYA YA MWALIMU JOHN SHABANI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Kaa tayari kuabudu na mwalimu wa nyimbo za injili Afrika Mashariki, John Shabani akishirikiana na mwimbaji wa kimataifa Georgina Ngatunga. Ni CD na DVD itakayoponya maisha yako, itakayo burudisha moyo wako na kukusogeza kwenye ibad...

ONDOA WASIWASI, PALE ULIPOSHINDWA ANZA UPYA, PALE ULIPOLIZWA FUTA MACHOZI, PALE ULIPOCHAFUKA SAFISHA UPYA, MAISHA YANAENDELEA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP