17 June 2017

SJ STUDIO NA MKAKATI WA KUSAIDIA VIPAJI





Mwalimu John Shabani na mkakati wa kuibua na kuendeleza vipaji ndani ya SJ Studio Productions

Tutayafikia makundi ya watu mbalimbali wenye vipaji, haijalishi mwonekano na hali yao ipo je. 


Tumeanza na ndugu zetu mbilikimo. Hivyo basi ikiwa unafahamiana na mbilikimo yeyote, tutumie picha na mawasiliano yake.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP