7 January 2018

JOHN SHABANI ASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA

Hivi ndivyo nilivyo sherehekea sikukuu ya mwaka mpya, nilitembelea kituo cha Shalom Orphanage Centre cha huko Karatu.



. Nilikua na wakati mzuri wa kuwafundisha watoto Neno la Mungu na kuomba nao. Pia tulipata nafasi ya kutembelea Ngorongoro kujionea simba, nyati, vifaru, viboko, fisi, punda milia...
Natoa pongezi kwa mama Warra Nnko kwa maono haya makubwa ya kuanzisha kituo hiki chenye watoto zaidi ya 70. Ni kituo kilichojipatia heshima Afrika na Duniani.


Nakushauri ikiwa unamzigo wa kusaidia watu, unatamani kutoa sadaka itakayogusa moyo wa Mungu, basi karibu Shalom Orphanage Centre karatu. Ni masaa mawili kwa gari kutoka Arusha hadi Karatu.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP