THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

28 June 2018

SIKU YA TUKIO KUBWA LA WATANZANIA WOTE KUKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU

 WAPENDWA, ILE SIKU YA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI ZAO AU DHEHEBU, KUKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU WETU IMEFIKA SASA. NAWAKARIBISHA RASMI ILI TUMTUKUZE MUNGU WETU.  NI SIKU YA UJIO MPYA WA PST. JOHN SHABANI, YULE MWALIMU MAARUFU  WA NYIMBO ZA INJILI ALIYEFUNDISHA KWAYA NYINGI NA WAIMBAJI WENGI BINAFSI.  JOHN SHABANI ATAWAONGOZA MAMIA YA WATU KATIKA KUSIFU,  PIA SIKU HIYO DVD YAKE ILIOANDALIWA KWA...

15 June 2018

TUKIO KUBWA LA UZINDUZI WA WCC CHOIR, KWAYA YA KANISA LA WAREHOUSE CHRISTIAN CENTRE (GHALA LA CHAKULA) LINALOONGOZWA NA MCH. NA MWL. PETER MITIMINGI

Zawadi pekee ya kwaya kwa baba na mama Mwalimu John Shabani, Mtumishi Peter Mitimingi, saa ya kuabudu.  Hawa ni mamia ya watu waliohudhuria siku ya tukio.  Praise team ya kanisa wakimtukuza Mungu  Baada ya tukio lililotikisa jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla la uzinduzi wa kanisa "GHALA LA CHAKULA - WARE HOUSE CHRISTIAN CENTRE", baada ya miezi michache limefanyika tukio lingine kubwa zaidi ndani...

HACK MOYO WA MPENZI WAKO USIHACK SIMU YAKE - UJUMBE MUHIMU KWA WANANDOA NA WALIO KWENYE MAHUSIANO

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanandoa na walio  kwenye muhusiano kutoka kwa Winnie Nzobakenga Nimewahi kusikia wanawake wengi wanaulizia jinsi ya kuhack simu za waume zao ili wawe wanasoma meseji za waume zao. Haya yapo pia hata kwa wachumba.  Mmh! hivi ninyi wamama au wan awake wenzangu, mnajipenda kweli? Sasa ukishahack simu yake then what? Ukikuta msg za wanawake wengine then what,inakusaidia nini??ukishajua mmeo anamchepuko...

6 June 2018

MWALIMU NA MCHUNGAJI DKT. PETER MITIMNGI AANZISHA HUDUMA IJULIKANYO KWA JINA LA GHALA LA CHAKULA - WCC

 Baada ya kulitumikia kanisa la TAG kwa miaka mingi kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma ya injili vijijini - VHM, hatimaye Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi aanzisha kanisa lijulikano kwa jina la Ghala la chakula au kwa kimombo; Warehouse Christian Centre - WCC  Mchungaji Peter Mitimingi akiwa katika picha ya pamoja na wahudumu siku ya uzinduzi wa kanisa.  Maelfu ya watu waliohudhuria siku hiyo Normal ...

5 June 2018

KARIBU SJ STUDIO

 SJ STUDIO na SJ VOCAL TRAINING  KIMBILIO LA WANAOTAKA KUORESHA SAUTI ZAO, WANAOTAKA  KUIMBA NA KUREKODI KWA VIWANGO.  KARIBUNI SANA  KWA MAWASILIANO: CALL/WHATSAPP +255716560094...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP