THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

4 November 2018

KUNA VYA KULAZIMISHA VYA KUFORCE LAKINI SIO NDOA

Usilazimishe kuolewa au kuoa, usimnyenyekee mtu ili akuoe au muoane, usijidhalilishe, usijikondeshe, usitokwe na mchozi kwaajili ya kutaka mume/mke. Utavaa nguo na kumech viatu na mkoba lakini kama MUNGU hajaruhusu uolewe na huyo huto olewa nae. Utajitaidi kumlinda, kumwezesha, kumrembesha, kama ni mkaka unajitaidi kumfanya awe mtanashati, aendane na fashion lakini kama hajaandaliwa kwaajili yako mtapotezeana muda tu. Usijibebishe My Dear...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP