THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

18 April 2019

TULIZA FM - MERU KENYA NA SJ STUDIO - TANZANIA WAKISHIRIKIANA NA UMOJA WA MAKANISA, WAANDAA KONGAMANO KUBWA LA KIROHO MERU KENYA

Tulizoea kualikwa, tulizoea kuandaliwa sasa tumevuka mipaka, tumekua,tunaanza kuandaa wenyewe na kualika.  SJ STUDIO, tumeandaa siku sita za mafundisho ya neno la Mungu, kuibua vipaji, kuwaona wenye shida then kurefresh. Ni huko Meru katikati ya Nchi ya Kenya. Wanenaji kutoka Tanzania, South Africa, kenya na waimbaji mbalimbali watakuwepo. Kongamano litarushwa live Tuliza FM. Menyeji wa kongamano hilo ni Askofu Dennis Mwenda wa Live Gospel...

SJ STUDIO MKOMBOZI WA WANAMUZI NA WAIMBAJI

 SJ STUDIO : Kituo kinachoandaa wenye ndoto za kuimba kuwa waimbaji bora! Studio iliojipanga kurekodi kwa ubara na kutengeneza video bora.  Pia mafunzo maalum ya muziki na sauté yanatolewa hapa ...

JIANDAE KWA UJIO MPYA WA VERONICA FRANK

Mtangazaji mahiri kutoka Praise Power Radio, mama wa simulizi, Veronica Frank ndani ya SJ Studio.  JIANDAE kwa nyimbo mpya zenye viwango zilizosimamiwa na kurekodiwa Sj Studi...

NEW ROSE MUHANDO

WOOOOOOH!💪💪💃💃NIANGUKAPO MIIIIIIMIIIIIIIII,NITASIMAMA TEEEEEEEEEEEEEEEENAAAAAA! HONGERA SANA DA ROSE MUHANDO KWA UPONYA...

DEBORA MKONYA KUWASHA MOTO WA SIFA KENYA

Star mpya wa injili Debora Mkonya anayetamba na video yake "KWA NGUVU ZA MUNGU", ndani ya SJ Studio, tayari kwa maandalizi ya safari ya huduma huko kwa Kenyata. Twenzetu Keny...

UJIO MPYA WA KWAYA YA KINAMAMA KUTOKA MLIMA WA MOTO

Mama zangu kutoka Mlima wa moto kwa mama Dr. Gertrude Rwakatare wakiwa ndani ya SJ Studio. Chini ya mafunzo ya mwalim John Shabani, jiandae kubarikiwa na nyimbo za kinamama hawa. ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP