THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

26 November 2019

HOW TO WRITE A SONG BY JOHN SHABANI

10 SONGWRITTING TIPS Writing a song with unforgettable melodies and creative lyrics can be challenging. Even the most experienced songwriters go through writer's block at some point in their career, and there are many different approaches to songwriting. Here are 10 helpful songwriting tips, each backed up by quotes from some of the world's most successful songwriters. FIND OUT HOW TO WRITE A SONG  1. WHERE TO START WRITING YOUR...

25 November 2019

UANDISHI WA NYIMBO ZA INJILI UNAENDANA SANA NA WITO WA HUDUMA YA MWANDISHI AU MTUNZI. #Ushauri kwa mtunzi au mwandishi wa nyimbo za Injili. Usitumie nguvu kubwa kutaka Kuandika Nyimbo zitakayozependwa au kukubaliwa sana maarufu kama HIT SONGS. Andika tu nyimbo kwa kadri ya msukumo utokao ndani yako. Imba Uimbaji wako, Tumia sauti yenye upekee na si ya kuigilizia. Fanya mziki wako ambao unaupenda kutoka moyoni. Kuwa halisi na mkweli kwa Nafsi...

WIMBO NI NINI?

Wimbo ni aina ya sanaa katika Fasihi ambayo hutumia lugha teule,sauti na kiimbo maalum. Nyimbo nyingi hugawanywa katika beti(verse) na kiitikio(chorus),pia zipo zenye kuwa na daraja/kiunganishi(bridge) na kiopoo/ndoano(hook). Pia nyimbo hutumia Ala za muziki kama vile ngoma,filimbi, gitaa na kinanda. Ikumbukwe kuwa nyimbo zinaweza kuimbwa na mtu mmoja au zaidi. SIFA ZA NYIMBO 1. Hutumia kiimbo au sauti maalum. 2. Huweza kuendana na Ala za muziki. 3....

UANDISHI AU UTUNZI WA NYIMBO (SONG WRITING/COMPOSITION)

Ebu tuangalie misingi ya utunzi wa nyimbo JE UNAWAJUA WATU MUHIMU KWENYE KWAYA, BENDI AU KWA MWIMBAJI BINAFSI? Ili wimbo uweze kukamilika huwa unakuwa na vipengele kadhaa ndani yake. -       Kuna maneno au mashahiri, au kwa lugha ya siku hizi ‘mistari’ na kwa kiingereza Lyrics. Nyimbo inaweza kuandikwa na mtu mmoja au wawili au Zaidi, tunawaita kwa kimombo Song writers. Mwandishi wa nyimbo anayeweka maneno...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP