20 November 2019

ZOEZI MUHIMU ANDALIO KWA MATOKEA YA SAUTI BORA KWA MWIMBAJI

Moja ya zoezi la Vocal Warm up ni LIP ROLLS ni kwamba unachezesha lips au midomo, sasa kitendo hicho kinasababisha pressure fulani inayotaka kutoka nje alafu kuna hewa inatoka ndani ya tumbo kwhiyi zinapokutana kwahiyo zinapokuja kuni council au kukutana zinafanya massage, zinakanda eneo la katikati kwenye koromeo kwa ndania au kwenye vocal fold. Ni zoezi limependekezwa na waalimu wengi wa sauti duniani ambalo matokeo yake ni mazuri sana katika kuboresha uimbaji. Ukipata shida kugonganisha midomo basi chuku vidole vyako viwili kasha bonyeza kidogo shavu la kushoto na kulia eneo linoonekana dimpozi kasha endelea na zoezi lako. Zoezi hizi linatengeneza stamina kubwa katika uimbaji. Nataka uelewe mwimbaji yeyote huimba vizuri akiwa ame relax au relaxation, akiwa na ujasiri. Lakini akiwa na hofu, wasiwasi, kutokujiamini, kuwa na miemko ya woga si rahisi kuimba vizuri. Mtu akiimba akiwa na ujasiri huimba kwa sauti yake halisi tena sauti yake hutoka vizuri.

Zoezi lingine la warm up ni TONGUETRILL, au kuchezesha ulimi. Mfano wake ni kama kupiga kigelegele nk. Ni zoezi lenye matokea makubwa katika uimbaji, linatengeneza sana mishipa ya nyuma na mbele na kusaidia kujenga stamina ya uimbaji hasa kwa wale wanaoimba kwa muda mrefu. Suala la kichwa kuuma au shingo au uchovu havitakuwepo. Linasaidia kuimba sauti yenye punch na yenye ubora
Zoezi lingine ni la kuweka vidole vitaux au vinne mdomoni (4 fingers in your mouth) kwa kuvisimamisha sio kulaza huku ukiwa umefungua kinywa chako hadi kiwango cha mwisho ukitoa sauti. Ni zoezi linalofanya mishipa ya nyuma kukaza hivyo kukujengea uwezo mkubwa kiuimbaji.
Ili kujifunza zaidi hudhuria program zetu za mafunzo pale SJ Studio Kimara Korogwe Dar es salaam. Kwa walio mikoani, endelea kutega sikio kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kocha John Shabani na timu ya waalimu wa sauti wana ziara mikoa mbalimbali pamoja na nchi kadhaa za Afrika Mashariki. Lakini pia unaweza ukajifunza kwa njia ya mitandao kupitia skype, whatsapp video call kwa njia ya simu n.k 
Tuwasiliane kwa kutupigia au kwa whatsapp
+255716560094

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP