THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

25 February 2020

ZIARA YANGU KUMTEMBELEA MZEE WA KIMAASAI MWENYE WAKE 33 NA WATOTO PAMOJA NA WAJUKUU 360

Nikiwa nimetembelea Mkoa wa Arusha wilayani Monduli, Nchini Tanzania ndipo ninapokutana na mzee mwenye umri wa miaka 105. Idadi ya watoto na wajukuu wa mzee huyo ni 360 na wake 33.Huyu ni Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laiboni.  Amelazimika kuwa na shule yake na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado ana azma ya kuendelea kuoa. Watu kutoka mataifa mbali mbali hufika kumtembelea mzee huyo kama sehemu ya utalii. Nilimuuliza...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP