THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

17 February 2021

TANZANIA REVIVAL CONFERENCE WITH EVANGELIST TONI JETON KEQANI

The earth is covered with great fear, the world is shaken...!!But there is a God in heaven who is invincible, a God who does what human beings have failed Stay tunedDon't plan to miss at the REVIVAL CONFERENCE IT'S A FIRE CONFERENCE FOR ALL PEOPLE. Together we'll praise and worship our God. Also they will be: Salvation Healing Delivarance Teaching Preaching Impartation Signs and Wonders.Come and experience...

8 February 2021

KARIBU TANZANIA MTUMISHI WA MUNGU JETON KEQANI (Wellkommen in Tanzania Gottes Dienner Jeton Keqani)

 Kutoka Ujerumani, ni mtumishi wa Mungu aliyeandaliwa chini ya malezi ya rafiki na mzazi wake wa kiroho Reinhard Bonnke. Mnyenyevu, asiyeta kujisifu, kujitangaza bali kazi zijitangaze zenyewe. Ni zaidi ya rafiki kwangu. Tangu nilipokutana naye nimejifunza unyenyekevu, utulivu, kuona mbali, kumsubiri Mungu, kumsikiliza Mungu nk. Safari hii anakuja Tanzania kwa makongamano ya uamsho mikoa kadhaa.Nitaendelea kukujuza lini na wa...

UNAPOKUWA KWENYE WAKATI MGUMU

 UNAPOKUWA KWENYE WAKATI MGUMU Haijalishi uko kwenye wakati mgumu kiasi gani, acha kutia huruma haitakusaidia. Wakati huna pesa, wakati mambo hayaendi, wakati hujafanikisha kodi ya nyumba, huna ada, huna biashara, au biashara haina faida, huna kazi, unauguza, wakati umetendwa na ndugu, rafiki, boss, mchumba, mume, mke, wakati wa maumivu ya kufiwa, kuachwa, kusemwa vibaya...huo ndio wakati wa kujiweka sawa, pendeza, changamka, kilichopo...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP