THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

31 December 2010

Ziara ya John Shabani huko Sudan, Turkana na kambi kubwa ya wakimbizi barani afrika.

Mwalimu maarufu wa muziki wa Injili Afrika mashariki bwana John Shabani akishirikiana na Askofu Jangalason, hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea huko SUDAN, TURKANA pamoja na kambi kubwa ya wa kimbizi barani afrika inayoitwa KAKUMA. Katika kambi hiyo wapo wakimbizi kutoka nnchi mbalimbali za kiafrika kama: Sudan, Ethiopia, Somalia, Rwanda, Burundi, Eritrea, Kongo nk. Ziara hiyo ilikua ya ni ya kujitolea ili kuonyesha upendo kwa watu waliokatatamaa...

27 December 2010

CHRISTIAN WEBSITE & BLOGS

Website/Blog Mmiliki  Ilipo www.agape.co.tz Agape Ministries Dar  www.akuzamu.org Akuzamu Ministry Dar  www.anglican.or.tz Anglican Church of T Dar  www.bethelrevivaltemple.org TAG-Betheli  Mgro www.brothergodie.blogspot.com...

27 April 2010

JOHN PHOTO ALBUM

MSIJISUMBUE KWA NENO LOLOTE BALI KATIKA KILA NENO KWA KUSALI NA KUOMBA PAMOJA NA KUSHUKURU, HAJA ZENU NA ZIJULIKANE NA MUNG.....

John Shabani akimkabidhi tuzo Spika wa Bunge

Mwalimu wa muziki wa injili Afrika Mashariki bwana John Stephen Shabani,hivi karibuni alimkabidhi tuzo ya heshima Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samweli Sitta; Kwa kutambua mchango wake katika jamii ya Watanzan...

24 April 2010

Dunia na mambo yake

Tusifananishwe na namna ya dunia hii, maana dunia inapita pamoja na mambo yake. Ubariki...

23 April 2010

certificate of appreciation

John receiving certificate of appreciation include award. This where given to him by Christian promoters company ltd, for his contribution in supporting Gospel music in East Afri...

Jiandae kujipatia kitabu kinachoitwa MARUFUKU KUKATA TAMAA “Never ever give up”. kilichoandikwa na Mwalimu wa Muziki wa Injili Afrika mashariki, bwana John Shabani. Hiki ndicho kitabu pekee ulichokua unakiitaji, ndicho kitakachobadili hali mazingira na mtazamo wa maisha yako, Kitakuondoa kwenye umaskini, ufukara, kuchekwa na kuwa mtu mwingine kabisa. Kitakutoa kwenye ugonjwa na kuwa mzima. Ni kitabu kilichojaa mifano na hadithi za kusisimua,...

The best of John Shabani

ZILE CD ULIZOKUWA UNAZIULIZIA KWA MUDA MREFU, CD ZENYE JUMBE ZINAZOGUSA MIOYO YA WENGI SASA ZINAPATIKANA. NI ILE INAYOITWA “MARUFUKU KUKATA TAMAA NA WAKATI WANGU” ZOTE ZA JOHN SHABANI PAMOJA NA “AMESIKIA KILIO CHAKO” YA DEBORA SHABANI. JIPATIE NAKALA...

16 April 2010

John Shabani with koreans (John akiwa na rafiki zake wa korea)

...

HAPA NIKIWA AFRIKA YA KUSINI HIVI KARIBUNI

? . ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP