23 April 2010

Jiandae kujipatia kitabu kinachoitwa MARUFUKU KUKATA TAMAA “Never ever give up”. kilichoandikwa na Mwalimu wa Muziki wa Injili Afrika mashariki, bwana John Shabani. Hiki ndicho kitabu pekee ulichokua unakiitaji, ndicho kitakachobadili hali mazingira na mtazamo wa maisha yako, Kitakuondoa kwenye umaskini, ufukara, kuchekwa na kuwa mtu mwingine kabisa. Kitakutoa kwenye ugonjwa na kuwa mzima. Ni kitabu kilichojaa mifano na hadithi za kusisimua, zinazogusa moyo. Ni hadithi za kweli tena zitakazoinua imani yako. Ukidiriki kuanza kukisoma kitabu hiki, kitakubadilisha. Hakika kitabu hiki kitakubadilisha kwa kiasi kikubwa ki-mawazo na kimatendo. Yaliomo katika kitabu hicho: Kukata tamaa, Dalili za mtu aliyekata tamaa, Athari za kukata tamaa, Mambo yanayokatisha tamaa, Baadhi ya magonjwa yanayotokana na kukata tamaa, Mtu akikata tamaa huamua chochote maali popote na kwa wakati wowote, Faida za kutokata tamaa, Mifano ya watu waliofanikiwa Kwa kutokata tama, Njia za kumsaidia aliyekata tamaa, Siri za kufanikiwa (Jinsi ya kushinda kukata tamaa), Baadhi ya jumbe kutoka Kwa watu na watumishi mbalimbali.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP