THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

25 August 2011

JOHN SHABANI UPENDO KILAHIRO NA COSMAS CHIDUMULE NDANI YA ZOOM PRODUCTION

 Pamoja na kutoa video nzuri na inayofanya vizuri sana, sasa jiandae kujipatia vibao vipya kutoka kwa Mwalimu maarufu wa muziki wa injili Afrika mashariki akiwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, akiwemo mkongwe wa muziki wa injili ambaye hapo awali alitamba sana na vibao vyake vya muziki kabla hajamgeukia Yesu, huyu si mwingine bali Mzee Cosmas chidumule. John na Mzee chidumule, wakiwa makini kusikiliza sauti ya...

John Shabani na Cosmas Chidumule Ndani ya Zoom Production - Dar es salaam

Pamoja na video inayofanyafanya vizuri, sasa j iandae kujipatia vibao vipya kutoka kwa mwalimu John shabani akiwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nnje ya nchi. Hii ni katikaka kutafuta kurudisha umoja miongoni mwa waimbaji wa njimbo za injili na kanisa kwa ujumla, maana hilo ndilo agizo la bwana Y...

23 August 2011

Marehemu DEBORA SHABANI (Nyota ya Injili iliozimika ghafla)

Baada kupokea maombi ya watu wengi ndani na nnje ya nchi, wakiitaji sana kupata cd na video ya DeboraShabani. sasa tuko mbioni kusambaza Cd hizo huku tukiendelea na mchakato wa kukamilisha Video ya...

MARUFUKU KUKATA TAMAA (Kitabu cha watanzania) kiko mbioni.

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP