25 August 2011

JOHN SHABANI UPENDO KILAHIRO NA COSMAS CHIDUMULE NDANI YA ZOOM PRODUCTION

 Pamoja na kutoa video nzuri na inayofanya vizuri sana, sasa jiandae kujipatia vibao vipya kutoka kwa Mwalimu maarufu wa muziki wa injili Afrika mashariki akiwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, akiwemo mkongwe wa muziki wa injili ambaye hapo awali alitamba sana na vibao vyake vya muziki kabla hajamgeukia Yesu, huyu si mwingine bali Mzee Cosmas chidumule.
 John na Mzee chidumule, wakiwa makini kusikiliza sauti ya muziki kabla ya kuanza kuingiza sauti
Cosmas chidumule na Mr Enock (producer Zoom production) Baada ya kumaliza kuingiza sauti



Pia tayari John amesharekodi wimbo akimshirikisha Upendo kilahiro


0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP