THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

29 November 2011

Martha Mwaipaja avishwa pete ya uchumba

Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Martha Esau Mwaipaja (pichani)  amechumbiwa na Mchungaji, John Said anayehudumia Kanisa la Udhihirisho wa Injili lililopo Ukonga jijini Dar es Salaam, Risasi Jumamosi linakupa habari kamili. Habari zisizo na chenga zilizotua kwenye meza ya ya blog hii zilisema, Martha alivishwa pete ya uchumba na mchungaji huyo  katika Kanisa la Victoria lililopo Ubungo External...

11 November 2011

ZIARA YA KUENEZA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI MIKOANI

                           bwana John Shabani akihojiwa na bi Revina Steven mtangazaji                         wa Top radio kuhusu chama cha muziki wa injili Tanzania                     ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP