14 December 2012

JIPANGE KUPOKEA VIDEO MPYA YA JOHN SHABANI, YAANDALIWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA



John Shabani kwenye maporomoko ya maji ya mlima kilimanjaro

John akiwa amekalia kiti cha kikoloni
John kwenye msitu wa mlima wa uruguru - morogoro












Ile video mpya ya mwalimu John Shabani inategemewa kuwa hewani wakati wowote. Kuchelewa kwa video hiyo kumetokana na gharama kubwa ya maandalizi yaVido hiyo. Pamoja na upatikanaji  wa waimbaji walioshirikishwa katika video hiyo. video hiyo imeandaliwa katika kiwango cha kimataifa, ikiwa imefanyika kwenye maeneo mbalimbali ya asili ya Tanzania ikiwemo milima, mabonde, misiti, maporomoko ya maji na sehemu mbalimbali  ili kupata uhalisia wa ki-Afrika.

Matukio mbalimbali yamekuwa yakijitokeza katika maandalizi ya video hiyo ikiwemo kuungua kwa moto, kuchomwa na miiba, madhara ya moshi, kukimbizwa na wanyama wakali, kupigwa na baridi kali ya maji ya mito, kushindwa kupanda milima mirefu n.k

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP