10 December 2012

MWIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI NCHINI KENYA AFUNGA PINGU ZA MAISHA



Tumaini na mamaaaaa
 Tumaini wa kwanza kulia mwenye shati jeusi akiwa na waimbaji wenzake miaka kadhaa iliyopita, wakipewa mafunzo ya uimbaji chini ya mwalimu John Shabani aliyeinua mkono juu
 Mazoezi ya pumzi coco beach
 Pango la tamasha la Tumaini huko nairobi - kenya
 Ziara mbalimbali za Tumaini Akilimali



Kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili, jina la mwimbaji Tumaini Akilimali sio ngeni kwenu, kwani hivi karibuni, wimbo wake wa  NISIZAME YESU umekuwa gumzo katika radio na TV stations nyingi za afrika mashariki.

Kipaji cha tumaini kiliibukia hapahapa Dar es salaam Tanzania katika mpango wa kuibua vipaji ulioitwa Sing Talent, na hatimaye kati ya maelfu ya waimbaji, walipatikana kumi bora na katika hao tumaini alikuwa mshindi wa pili. Mpango huo ulikuwa chini ya usimamizi wa mwalimu John Shabani.

Tumaini aliamua kuamishia makazi yake katika jiji la Nairobi. Sasa Huduma yake imepata kibali cha kimataifa. Hatimaye sasa Akilimali amefunga pingu za maisha na mwanadada Noreen.

This is wonderful congrats! Tumaini Akilimali and Noreen, John Shabani (Your vocal Teacher) wishing u a happy family and life full of God's blessing Amen!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP