8 December 2012

MIUJIZA YA AJABU YATENDEKA KATIKA VIWANJA VYA BIAFRA, VIPOFU WAONA, VIZIWI WASIKIA. ZIMEBAKI SIKU MBILI LEO NA KESHO. NJOO UKUTANE NA YESU MTENDA MIUJIZA.


GREAT MIRACLES IN BIAFRA - DAR ES SALAAM WITH DR. KAMESE FROM UGANDA. DON'T MISS THIS!
Mwl John shabani aliongozi sifa
 Mr. Tumsifu, akimsifu Bwana
 Bahati Bukuku akisindikizwa na Ambele chapanyota
mwana dada Rachel kutoka sweden sambamba na Christina mbilinyi

Yule muhubiri wa kimataifa kutoka Uganda, Dr. Kamese, sasa yuko jijini Dar es salaam. Muhubiri huyo anayezunguka duniani kote akiponya wagondjwa na kuwafungua waliofungwa na nguvu za giza kwa jina la Yesu. Ni mkutano wa kipekee. Hakika Yesu anatembea. Pia waimbaji mbalimbali wakiongozwa na MC wa mkutano huo Mwl John Shabani, wamekuwa Baraka katika mkutano huo.
Waimbaji wanaoimba katika mkutano huo ni> Bahati Bukuku, John Shabani, Ambele Chapanyota, Christina Mbilinyi, Rachel Scharp kutoka Sweden, Tumsifu, Calvary Group na wengine kabao.
Jitaidi kuhudhuria leo na kesho, hakika utabarikiwa. Pia viwete, viziwi, bubu, Waginjwa waoooote wanahitajika. Kwa habari zaidi 0716560094
Karibu sana.

Reactions:

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP