5 September 2013

MAELFU WAOKOLEWA NA KUPONYWA KUPITIA HUDUMA YA ASKOFU JANGALASON




Maelfu waendelea kuokolewa na kuponywa kupitia huduma ya Askofu  Charles Jangalason. Kwa wale wasiojua, Jangalason ndiye kiongozi na mwanzilisha wa huduma ya Hofan (Hope for all nations).
Mtumishi huyo wa Mungu, amekuwa akizunguuka dunia akihubiri Injili ya Bwana Yesu. Endelea kumwambea mtumishi huyu wa Mungu na mmoja wa wakongwe wa muziki wa Injili Tanzania.
Amen!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP