4 September 2013

NEW VIDEO WITH JOHN SHABANI





Pamoja na kuwa kimya kwa muda mrefu, kwaajili ya masomo na mambo mengine, hatimaye video ya Mwalimu John Shabani sasa imekamili. Video hii itasambazwa na kampuni ya Msama Promotions.

Jiandae kubarikiwa na ujumbe uliomo katika Video hii mpya iliyoshirikishwa waimbaji mbalimbali kama: Cosmas Chidumule, Upendo Kilahiro, Faraja Ntaboba, Christina Matai, John Komanya na wengine kibao. Mungu akubariki.
“Young Pastor”

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP