17 February 2014

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA CHAUNGANA NA VYAMA VINGINE VYA MUZIKI TANZANIA KULALAMIKIA JUU YA KUTOKUSHIRIKISHWA KATIKA BUNGE LA KATIBA





 John Shabani (Katibu mkuu wa chamuita) kulia, katikati niRose Muhando (Mjumbe wa chamuita) na kushoto ni Stella Joel (Katibu muenezi wa chamuita)


Nabii Machibya
Katibu wa chama cha muziki wa injili Tanzania (Chamuita), John Shabani kushoto akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari Dare es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita kwa niaba ya Rais wa Shirikisho la muziki Tanzania (TMF), kuhusu kundi hilo kuachwa kuchaguliwa katika Bunge la  maalum la katiba.

Baadhi ya watu waliohudhuria kikao hicho kifupi, ni pamoja na aliyewahi kuwa katibu washirikisho la muziki Tanzania pamoja Mtumishi Machibya (Mume wa mtangazaji maarufu wa BBC, Zawadi Machibya)

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP