23 February 2014

NENO LA MUNGU NA USHUUDA WA PRINCE MOBUTU, MTOTO WA MOBUTU, RAIS WA ZAMANI WA KONGO ZAIRE, WAWAGUSA WENGI

 Hakika imekuwa ni wiki ya ajambu ndani ya kanisa la maisha ya ushindi linaloongozwa na Mch. John Said, ambapo Muhubiri wa kmataifa kutoka ufaransa, Prince Mobutu, mungu amemtumia kwa jinsi ya ajabu ili kuwakomboa watu katika vifungo mbalimbali.

Ushuuda wake wa jinsi alivyoishi maisha ya kishetani, uovu aliutenda baba yake, jinsi wachungaji feki walivyokuwa wakimwabudu baba yake n.k. Hakika umegusa mioyo ya wengi.



                                  Mobutu Sésé Seko;Rais wa zamani wa DRC Kongo

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP