11 July 2016

MASANJA MKANDAMIZAJI ATANGAZA UCHUMBA



Masanja akimvisha pete wife mtarajiwa

Anafahamika zaidi kwa jina la Masanja Mkandamizaji lakini jina lake alilopewa na wazazi wake ni Emmanuel Mgaya. Ni mchekeshaji maarufu nchini tanzania, mjasiriamali na mchungaji pia. Alifahamika zaidi kupitia kipindi cha uchekeshaji kilichokuwa kikirushwa na EATV na baadae TBC.

Masanja amevunja ukimya na kuweka wazi tarehe atakayopata jiko (atakapo oa). 
Ameutangazia Ulimwengu kwamba safari yake ya Ndoa imeanza rasmi leo kwa Kumvisha Pete ya Uchumba  dada wa watu..
na tarehe 14 August 2016 Atafunga Ndoa.... 
tumuombee na Kumsupport financially and Materially....


Kuanzia tarehe 15 Agosti 2016, kambi ya makapera itakuwa imempoteza mtu wao mpendwa, Masanja Mkandamizaji.
 

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP