18 July 2016

TUUNGANE KWA PAMOJA KUIOMBEA SUDANI YA KUSINI

Watoto hawa wanalia kwa uchungu wakifanya maombi kwaajili ya amani ya huko Sudani ya Kusini.
Wamechoka na kuona wazazi wao wakiuliwa kwasababu ya itikadi za kisiasa na .

wengi wa watoto hawa wamebaki yatima wakiwa wamepoteza wazazi. wanaomba amani.

TAFADHALI, TUUNGANE NAO KUIMBEA SUDANI KUSINI AMANI.




0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP