3 November 2016

HAIJAWAHITOKEA IFAKARA MOTO WA INJILI UMEWAKA

 Christopher Mwangila akimtukuza Mungu kwenye mkuyano huo
 John Shabani akishusha moto wa sifa

 Mamia ya watu wafunguliwa kutokana na nguvu za giza
Mwinjilisti Jailos Maloda katika siku ya tatu ya mkutano
                                                              
Kati ya watumishi ambao Mungu anawatumia kwa kiwango kikubwa Tanzania, yupo mtu huyu wa Mungu ambaye hana papara, akizunguka nchi nzima na nje ya nchi akihubiri habari njema.

Anaitwa mwinjilisti Jailos Maloda. Nimeshuhudia Mungu akimtumia kwa viwango vya juu sana. Wiki hii ni zamu ya Ifakara Morogoro. Namimi na rafiki yetu Christopher Mwahangila na waimbaji wengine tupo hapa tukishusha moto kupitia sifa. Asante kwa rafiki zangu na watu mbalimbali ndani na nje mlionipigia simu baada ya kuona picha hizi tukiwa hapa IFAKARA.

Watu wote wa Ifakara na Maeneo ya jirani karibuni sana.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP