15 November 2016

MAAJABU YA BIDHAA ZA ORIFLAME



Ukiona mimi na rafiki zangu tunapendeza, tunanawili, siri ni bidhaa za Oriflame, lakini pia ni njia mojawapo iliosaidia watu wengi kuongeza kipato bila kutumia nguvu kubwa wala kutoa jasho.

KINACHOTOKEA KWENYE MWILI WAKO UNAPOTUMIA BIDHAA ZA ORIFLAME:


-         WONDER OIL – Inasaidia kulainisha ngozi, massage, hot bath, kuondoa weusi mapajani, kuondoa michirizi na kupendezesha nywele zako.


-         HAPPY SKIN – Lotion hizi zimetengenezwa kwa mbegu za maboga. Hulainisha ngozi na kukupa mwonekano wa rangi moja mwili mzima.


-         FEETUP – Huleta muujiza kwenye kisigino. Ni mkombozi wa visigino vigumu. Kumbuka magaga, sagamba/kea haikubaliki


-         LOVE NATURE Cleansing Gel – Inarudisha ngozi iliyochubuliwa na chemicals hasa kwa waliaathirika usoni, pia huondoa chunusi na madoa/mabaka.


-         PURE SKIN AU CLEANSING GEL – Husaidia watu wenye mafuta mengi usoni na chunusi


-         NOVAGE BRIGHT SUBLIME – Inaondoa madoa yote usoni, inaondoa dalili zote za ngozi kuanza kuzeeka yaani mikunjo.


-         OPTIMALS FIRMING LOTION – Huondoa nyama zembe


-         FEMINELLE – Ni fahari ya mwanamke. Inamkinga mwanamke na fangasi, miwasho na U.T.I pamoja na harufu mbaya.

Pia zipo products za aina mbalimbali tena za asili kama vile poda, make up, lipstics, parfums nzuri, dawa za meno na products zinazofaa kwa watoto n.k.

Je unaipenda ngozi yako na mwili wako kwa ujumla? Tumia bidhaa za Oriflame. Je ungependa kuongeza kipato? Jiunge na familia ya oriflame.

Ikiwa unahitaji product yoyote ya Oriflame nipigie au nitumie ujumbe, kisha utaletewa poppet ulipo, na ikiwa unataka kujiunga na familia ya Oriflame ili uelekezwe namna ya kuongeza kipato kwa njia rahisi, tuwasiliane pia.

Nipigie/ni whatsapp 0716560094

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP