THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

14 January 2021

VOICE TRAINING (VOCAL LESSONS ) BY COACH JOHN SHABANI

VOICE TRAINING BY JOHN SHABANI The Benefits of a Vocal CoachSinging is no easy feat; even professional singers seek expert advice throughout their career. Learning to breathe correctly, stand upright, enunciate distinctly – all take hard work, dedicated training and consistent practice.Developing a good singing voice doesn’t stop when you finally hit those high notes, and voice coaches can teach you so much more than singing. Having a strong...

SJ STUDIO TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA

Kwa wanafunzi wangu wa sauti, asanteni kwa kuniamini kuwa mwalimu wenu. Na kwa wateja wetu asanteni kutuamini 2020. SJ studio ni studio yenu. Tunaahidi kufanya kazi za ubora zaidi mwaka huu. Studio yetu inapatikana Kimara Dar es salaamTULETEE KWAYA NA WAIMBAJI BINAFSI STUDIO ITAKULIPA ASILIMIA 20 YA MALIPO. KARIB...

JE UNAIJUA MICROPHONE NA MATUMIZI YAKE

Tunatumia sana microphones (vinasa sauti na sio vipaza sauti) katika shughuli zetu. Je, unafahamu aina za microphones?Unajua zilivyoundwa? (designs)Unajua kila microphone imeundwa kuchukua mwelekeo(polar pattern) gani? Unaiwekaje microphone unapochukua sauti? (microphone technique)SJ STUDIO chini ya mafunzo ya kocha JOHN SHABANI tunakupa ujuzi wa hali ya juu na uelewa mpana wa microphone. Baada ya somo hili utaitazama na kuitumia microphone...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP