14 January 2021

SJ STUDIO TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA


Kwa wanafunzi wangu wa sauti, asanteni kwa kuniamini kuwa mwalimu wenu. Na kwa wateja wetu asanteni kutuamini 2020. SJ studio ni studio yenu. Tunaahidi kufanya kazi za ubora zaidi mwaka huu. Studio yetu inapatikana Kimara Dar es salaam

TULETEE KWAYA NA WAIMBAJI BINAFSI STUDIO ITAKULIPA ASILIMIA 20 YA MALIPO. 

KARIBUNI

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP