14 January 2021

JE UNAIJUA MICROPHONE NA MATUMIZI YAKE


Tunatumia sana microphones (vinasa sauti na sio vipaza sauti) katika shughuli zetu. 
Je, unafahamu aina za microphones?
Unajua zilivyoundwa? (designs)
Unajua kila microphone imeundwa kuchukua mwelekeo(polar pattern) gani? Unaiwekaje microphone unapochukua sauti? (microphone technique)

SJ STUDIO chini ya mafunzo ya kocha JOHN SHABANI tunakupa ujuzi wa hali ya juu na uelewa mpana wa microphone. Baada ya somo hili utaitazama na kuitumia microphone kwa namna tofauti kabisa. Pia utajua mafanikio na utajiri uliofichwa ndani ya sauti yako

Darasa linaendelea. Jiandikishe sasa.
WhatsApp +255716560094, +255759778778
KARIBU SANA

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP