THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

29 December 2013

SEMINA KUBWA NA MKESHA WA NGUVU ATN

Uongozi wa ATN wanakuletea Semina kubwa ya Neno la Mungu itakayoanza January 1 - 4 kila siku jioni ikiambatana na mkesha mkubwa utakaofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 3 kuanzia saa 3 usiku. Waimbaji mbalimbali watasifu, watumishi mbalimbali watahubiri na kufanya maombi maalum kwa kila mtu. Hakuna kiingilio na watu wote mnakaribish...

25 December 2013

Bony Mwaitege, Bahati Bukuku, Upendo Nkone wawasha moto wa Injili ndani ya Usatawi wa Jamii

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

24 December 2013

UJUMBE WA KUMALIZA MWAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIJANA

WEWE NI MTU WA THAMANI KWANGU NA ZAIDI KWA MUNGU. Tunapomwaliza mwaka, ni mengi tumekutana nayo, mengine ni changamoto tu za kutuhimarisha, mengine ni mahudhi, mengine ni makwazo na majaribu, mengine tumeyasababisha wenyewe, mengine kutoka kwa ibilisi mengine ni mkono wa Mungu mwenyewe. (Romes 8:28 We know that all things work together for good for those who love God, who are called according to his purpose.Haata pale ambapo unaona mambo yamekuwa...

17 December 2013

JIPATIE DVD YAKO YA SHILO SASA

Ile DVD ya Kongamano la Shilo Tanzania 2013 sasa inapatikana kanisani Mikocheni B' Assemblies of God. Barikiwa na mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa Askofu Maboya, Askofu Mrisa, Dk. Getrude Rwakatare na Mch. Noah Lukumay. Pi utabarikiwa na wimbo maalum wa shilo Tanzania ukiongozwa na John Shabani akishirikiana na Shilo mass choir, maombi kwa ajili ya taifa na tukio la uzinduzi wa shil...

WAIMBAJI MBALIMBALI WANYIMBO ZA INJILI TANZANIA (TANZANIA GOSPEL ALL STARS) KUREKODI NYIMBO ZA HARAKATI

Waimbaji mbalimbali wa Injili chini ya usimamizi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, kwa pamoja wameanza kurekodi nyimbo mbalimbali za harakati Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

10 December 2013

WELCOME TO MOUNTAIN OF FIRE ASSEMBLIES OF GOD! WELCOME TO SHILOH TANZANIA 8-15/2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

2 December 2013

NI MLIPUKO WA INJILI NDANI YA EMAUS PRAYER CENTER NA JOHN SHABANI

Imekuwa ni jumapili ya kipekee ndani ya Emaus Prayer Center Dar es salaam, ambapo watumishi mbalimbali wamewasha moto wa injili. Ilikuwa ni sifa, kuabudu, Neno na maombezi kwa watu wenye shida mbalimba...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP