17 December 2013

WAIMBAJI MBALIMBALI WANYIMBO ZA INJILI TANZANIA (TANZANIA GOSPEL ALL STARS) KUREKODI NYIMBO ZA HARAKATI

Waimbaji mbalimbali wa Injili chini ya usimamizi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, kwa pamoja wameanza kurekodi nyimbo mbalimbali za harakati









Nyimbo hizo ni kama: Wimbo wa Haki za binadamu, Madhara ya rushwa, Umoja n.k. Nyimbo hizo zinazosimamiwa na Mlezi wa chama Mheshimiwa Martha Mlata, mwalimu John Shabani na uongozi wa chama zinarekodiwa katika studio ya TWINS RECORD iliyopo Ubungo Rever Side.
Tayari waimbaji mbalimbali wameingiza sauti zao.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP