25 December 2013

Bony Mwaitege, Bahati Bukuku, Upendo Nkone wawasha moto wa Injili ndani ya Usatawi wa Jamii










Imekuwa ni jumatano ya pekee ambapo watu waliohudhuria ibada zinazoendelea ndani ya ukumbi wa chuo cha Ustawi wa jamii, wamebarikiwa sana na huduma za watumishi hao wa Mungu

Pamoja na uimbaji pia Neno la Mungu lililohubiriwa na mwana mama Bahati Bukuku limewafungua watu mbalimbali ambapo baadaye watumishi hao wa Mungu wakishirikiana na Mch. John Shabani, wamewaangoza watu katika maombi ya toba na kuwafungua watu katika vifungo mbalimbali vya ibilisi. Pia waimbaji wengine wengi wamehudumu.
Mchungaji Benjamin Bukuku ambaye ndiye mbeba maono wa huduma hiyo, anakualika jumapili hii na jumatano katika ibada ya mwaka mpya. Waimbaji mbalimbali watahudumu kwa uimbaji.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP