24 December 2013

UJUMBE WA KUMALIZA MWAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIJANA

Tunapomwaliza mwaka, ni mengi tumekutana nayo, mengine ni changamoto tu za kutuhimarisha, mengine ni mahudhi, mengine ni makwazo na majaribu, mengine tumeyasababisha wenyewe, mengine kutoka kwa ibilisi mengine ni mkono wa Mungu mwenyewe.

(Romes 8:28 We know that all things work together for good for those who love God, who are called according to his purpose.
Haata pale ambapo unaona mambo yamekuwa magumu na huwezi kuendelea, usimpe ibilisi nafasi ya kukutoa kwenye mpango wa Mungu, bali wewe mshukuru Mungu na endelea kuamini mpango wake katika maisha yako kuwa ni kamili na atautimiliza. Katika mambo yote mshukuru Mungu maana ni mapenzi yake katika Kristo Yesu.
Heri ya mwaka mpya!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP