30 August 2016

BIBI ARUSI ATOROKA KANISANI HUKO NIGERIA BAADA YA KUGUNDUA MUME MTARAJIWA SIO MFANYAKAZI KATIKA KAMPUNI YA KITAJIRI YA KUUZA MAFUTA



 Bwana harusi na msaidizi wake wakijitaidi kumsii bibi arusi arudi kanisani ili kuhepusha ahibu.


Ukiwa kama mwanaume unajitangazia vipi kuwa wewe mfanyakazi wa kampuni kubwa kumbe mfagia barabara? jamani kwani ukisema mimi dereva wa bodaboda kuna tatizo gani au ndio mnatudhihirishia mapenzi ya sasa yanakwenda na pesa nasio mapenzai ya kweli? duh sasa ona kilichomtokea huyu mwanaume mwenzetu ni aibu kubwa ya kimataifa

Hili ni kosa kubwa katika mahusiano, iwe ni kwa mwanamke au mwanaume, uwazi ni kitu cha msingi hata kama choka mbaya usije danganya ni bora mtu akukubali kama ulivyo mana akijagundua umedanganya hata kuamini tena, huyu bibi harusi kwa kiasi fulani namuunga mkono maana mahusiano yataka uwazi.


Kama mume kaanza kukudanganya kabla hajakuoa,Je akikuoa, sometimes tuwe real, ukweli unakufanya unakua huru

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP