21 October 2016

JOHN SHABANI VIDEO INTERVIEW TOURS

 John Shabani na kundi lake wakati wa maandalizi ya mkanda wa video


Usiache kutazama ziara ya kutambulisha video zangu mpya. Wiki hii nitakuwepo Living water TV, SIBUKA TV na jumapili kuanzia saa mbili asubui ni ndani ya Chomoza ya Clouds.

Nashukuru pia kupata pongezi nyingi kutoka ndugu, jamaa na marafiki kenya, Uganda,malawi, DRC, Norway, Australia, USA, GERMANY, UK, CANANDA, SOUTH AFRICA ...
Kipande kidogo cha video nilichokiweka Facebook kimesababisha haya.

Rafiki zangu wa Kenya, after 2 weeks, nitakua nikifanya interview na TV mbalimbali hapo. Nipokeeni!
Gospel music teacher is back again.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP