31 October 2011
MUME WA MAREHEMU ANJELA CHIBALONZA AJIPATIA UBAVU MPYA
04:17
No comments
Hatimaye aliyekuwa mume wa marehemu Angela Chibalonza, ajipatia ubavu mwingine. Mtumishi huyo wa Mungu ameoa hivi karibuni huko DRC kongo. Picha hizi ni baada ya wiki chache za ndoa alipohudumu ni mke wake mpya katika kanisa la Mikocheni B assemblies of God, linaloongozwa Na Mchungaji Getrude Rwakatare.Kuhusu jina la mke wake na habari zote za harusi hiyo tutakujulisha hivi karibuni. ...
24 October 2011
TANZANIA GOSPEL STARS WAKAMILISHA VIDEO YA WIMBO WA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA
05:08
No comments
Hatimaye waimbaji wa nyimbo za injili Tanzania wakiongozwa na mwalimu wa muziki wa injili afrika mashariki bwana John Shabani, chini ya usimamizi wa chama cha muziki wa injili Tanzania (Chamuita) wamekamilisha video ya wimbo ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Pamoja na waimbaji mbalimbali kushiriki katika wimbo huo pia yumo mheshimiwa Martha Mlata ambaye amechangia sana katika kufanikisha kurekodi wimbo huo. Baadhi yam abo aliyo yafanya ni pamoja...
20 October 2011
Chama cha muziki wa Injili (Chamuita) cha ahidi kusomesha watoto yatima
11:04
No comments

Chama cha muziki wa Injili (Chamuita) kikishirikiana na Marafiki huru pamoja na marafiki wa face book, walifanya ziara wiki iliyopita kutembelea kitua na shule ya watoto yatima. Hakika vituo vipo vingi Dar es salaam kama sio Tanzania. Lakini kituo au shule hiyo ni ya pekee na wanatembelea kituo hicho ni wale wenye upendo wa Agape, kwani shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Hoset ipo huko Mkuranga katika mkoa wa pwani. Ni kilo mita 20 kutoka mkuranga...
13 October 2011
6 October 2011
WAIMBAJI WA INJILI WAMTUNUKU MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION CHETI CHA HESHIMA
13:19
No comments
Alex Msama akiwashukuru waimbaji wa injili
Waimbaji wa nyimbo za Injili wakiongozwa na mwalimu John shabani,
wakiutambulisha wimbo wa miaka 50 ya uhuru wa tanzania mbele ya waandishi wa habari.
...
MASANJA MKANDAMIZAI NA STARA THOMAS WAUNGANA NA WAIMBAJI WA INJILI KUREKODI WIMBO WA MIAKA 50 YA UHURU
04:59
No comments
Mchungaji mtarajiwa bwana Masanja Mkandamizaji pamoja na mwana mama aliyempa yesu maisha hivi karibuni bi stara Thomas, wameungana na wanamuziki wenzao wa injili katikakurekodi wimbo wa kumshukuru Mungu kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
...
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
