20 October 2011

Chama cha muziki wa Injili (Chamuita) cha ahidi kusomesha watoto yatima

Chama cha muziki wa Injili (Chamuita) kikishirikiana na Marafiki huru pamoja na marafiki wa face book, walifanya ziara wiki iliyopita kutembelea kitua na shule ya watoto yatima. Hakika vituo vipo vingi Dar es salaam kama sio Tanzania. Lakini kituo au shule hiyo ni ya pekee na wanatembelea kituo hicho ni wale wenye upendo wa Agape, kwani shule hiyo ijulikanayo kwa jina la Hoset ipo huko Mkuranga katika mkoa wa pwani. Ni kilo mita 20 kutoka mkuranga mjini, kilo mita 50 kutoka mbagala na kilo mita 65 kutoka jiji la Dar es salaam. Kituo hicho kilichopo katikatika ya pori, kinamilikiwa na Mzee Mwalugaja.

Baada ya kukuguswa na watoto hao wenye vipaji vya ajabu, watu mbalimbali wamejitolea kusomesha baadhi ya watoto, pia chama cha muziki wa injili kimeahidi kusomesha watoto wawili.

 
Baadhi ya watoto wakiimba kwa hisia kali.

Zawadi mbalimbali





0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP