THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

28 December 2011

UBARIKIWE NA BWANA

...

21 December 2011

BELLA KOMBO AMRUDIA BWANA

Christabella Kombo kwa jina maaarufu Bella Kombo, hivi karibuni ameamua kuachana na muziki wa dunia na kuanza kumwimbia Bwana. Mwanadada huyo aliyeonekana kuvutia sana kwenye mashindano ya Bongo Star Seach BSS ya 2010 na 2011, hivi sasa amerekodi album yake ya nyimbo za injili. Kabla hajajiunga na Bss, Bella alikua mwimbaji mzuri kanisani na pia sauti ya Bella imesikika sana ktika baadhi ya nyimbo mbalimbali za mwalimu John Shabani. Akiongea na...

19 December 2011

JOHN SHABANI, FARAJA NTABOBA, UPENDO KILAHIRO NA CHIDUMULE NDANI YA VIDEO MOJA

                                 John Shabani na Upendo kilahiro baada ya kuimba wimbo maalum wa miaka 50 ya huru wa Tanzania kwenye uwnja wa uhuru.                                    ...

15 December 2011

WATANZANIA (MIAKA 50 YA UHURU)

...

• COSMAS CHIDUMULE NA JOHN SHABANI WAKONGA MIOYO YA MAELFU YA WATU

Mkongwe wa muziki wa injili Afrika Mzee Cosmas Chidumule pamoja na mwalimu maarufu wa Muziki wa injili afrika mashariki bwana John Shabani,Wamegusa mioyo ya maelfu ya waumini walioshiriki ibada katika kanisa la mlima wa moto (Mountain of fire) la mikocheni b assemblies of God linaongozwa na Dr, Rv. Getrude Rwakatare. Kibao cha Kwa Yesu kuna raha chake john Shabani alichomshirikisha Chidumule ndicho kilicho tifua maelfu ya waumini hao. Wimbo huo umo...

13 December 2011

WIMBO ULIOIMBWA NA TANZANIA GOSPEL ALL STARS WAPATA HESHIMA YA KUWA WIMBO MAALUM KATKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA

                                   Umati wa maelfu ya watu                                        ...

8 December 2011

Tanzania gospel all stars kuimba kwenye maadimisho ya miaka 50 ya uhuru

Hatimaye waimbaji wa injili (Tanzania All Gospel Stars) walioshiriki kurekodi wimbo wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania chini ya uongozi wa Camuita(Chama cha muziki wa injili Tanzania), wameingizwa katika ratiba ya uimbaji katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru. Maadhimisho hayo yatafanyika kesho katika viwanja vya uhuru/kiwanja cha taifa. Waimbaji hoa wameombwa kuwahi mapema yaani saa moja kamili asubui, ili kupewa ratiba kamili pamoja...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP