29 February 2012
RUMATZ, BLOG MAARUFU BARANI AFRIKA
10:37
No comments
Mtalaamu wa Blogs, Website na Graphics Tanzania, Mr. Rulea Sanga ambaye ndiye pia mmiliki wa blog ya rumatz.blospot.com
Kazi kubwa ya rumatz ni kumtangaza Mungu kwa wale tu wasiomjua na kumwami...
27 February 2012
18 February 2012
JOHN SHABANI NDANI YA ABUNDANT BLESSINGS CENTER
John Shabani akihudumu
John Shabni akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi waliosimikwa
Huyu ndiye Askofu Ndbila na mke wakeHii imekuwa ni siku ya pekee kwa huduma ya ABUNDANT BLESSINGS CENTER. kwa mara ya kwanza huduma hii jumapili ya tarehe 18\02\2012, wamesimikwa watumishi mbalimbali tayari kwa ajili ya kazi ya Bwana katika...
16 February 2012
JOHN SHABANI NDANI YA ATN SIKUU YA WAPENDANAO
11:34
No comments

Hivi ndivyo ilivyokuwa sikukuu ya wapendanao (Valentine day) ndani ya ukumbi wa ATN (Agape Television Network) mbezi jogoo tarehe 14/02/2012.
Tofauti na watu wengine wanavyoichukulia siku hiyo kinyume na maana ya siku yenyewe, lakini uongozi na wapenzi wa ATN walijumuika pamoja wakibarikiwa na uimbaji kutoka kwawaimbaji mbalimbali pamoja na Mtumishi wa Mungu John Shabani na kundi lake na baadaye Neno la Mungu kutoka kwa Watumishi wa Atn. Masuala...
10 February 2012
KULIKONI WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI?

Jamani kuna nini katika muziki wa Injili? Inasikitisha wasanii wa Bongo fleva wamejitokeza kwa wingi katika kumpongeza mwimbaji wa Injili Rose Muhando baada ya kuchaguliwa na kampuni ya kimataifa ya sony Music, lakini waimbaji wenzake wainjili hawakutokea! Ebu tujadiliane, jamani tatizo nini...
9 February 2012
ROSE MUHANDO AULA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA SONY MUSIC

Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Afrika mashariki, amefanikiwa kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa ya Sony Music. Hii ndio kampuni pekee Duniani inayoingia mikataba mikubwa na wasanii. katika Nchi tano za Afrika Mashariki, ndio kwanza mwimbaji pekee wa injili aliyefanikiwa kuingia mkataba na kampuni hiyo bado ni Rose muhando.Mwalimu maarufu wa muziki wa injili afrika Mashariki bwana John Shabani, akiwa katika picha ya pamoja na Rose Muhando...
8 February 2012
PRAISE AND WORSHIP HOUR WITH JOHN SHABANI
04:41
1 comment
Jumapili hii Mwalimu John shabani amegusa mioyo ya maelfu ya waumini waliohudhuria ibada katika kanisa la Mikocheni B' assemblies of God. Akiongoza sifa na kuabudu katika kanisa hilo, uwepo wa Mungu ulishuka na kulijaza Hekalu hilo kama vile siku ya pentekoste.
Naye Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Daktari getrude rwakatare amewakumbusha watu kwamba yesu yu karibu kurudi kulichukua kanisa. Pia Muhubiri wa kimataifa aliyekufa na kufufuka baadaya...
5 February 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
