8 February 2012

PRAISE AND WORSHIP HOUR WITH JOHN SHABANI

 Jumapili hii Mwalimu John shabani amegusa mioyo ya maelfu ya waumini waliohudhuria ibada katika kanisa la Mikocheni B' assemblies of God. Akiongoza sifa na kuabudu katika kanisa hilo, uwepo wa Mungu ulishuka na kulijaza Hekalu hilo kama vile siku ya pentekoste.

Naye Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Daktari getrude rwakatare amewakumbusha watu kwamba yesu yu karibu kurudi kulichukua kanisa. Pia Muhubiri wa kimataifa aliyekufa na kufufuka baadaya siku saba Mchungaji Emmanuel Twagirimana, ameongoza maombi na maelfu ya watu kufunguliwa na nguvu za giza pamoja na kuwaombea wenye mahitaji mbalimbali.


1 comments:

Anonymous said...

Mungu Mwema

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP