5 February 2012

SARAH SHILLA - MWANA DADA WA KITANZANIA ANAYEFANYA VIZURI HUKO INDIA




                                              Sarah akiimba kwa hisia kali
                                                Sarah akiwa jukwaani




Sarah Shilla ni mwanadada wa kiafrika kutoka Nchini Tanzania mwenye kipaji cha aina yake, kwa kuonyesha ujuzi wa kutumia vyombo vingi vya muziki huku akiipaza suti yake kama kasuku.

Sarah Shilla ni mwanfunzu wa P.T.U  PUNJAB chuo kilichopo INDIA na ndipo huwa anafanya shughuli za muzika pamoja na masomo yake  Nchi INDIA

Hii ilijidhirisha katika kuuaga mwaka, baada ya kuwashangaza watu walioudhuria mkutano wa mahubiri ambapo aliweza pia kuonyesha uwezo wake wa kulielea neno na kuwapa waliofika
katika viwanja hivo neno, ni mkutano

                 
                              TUMAINI - MWIMBAJI WA INJILI ANAYEFANYAVIZURI KENYA






  Jina Akilimali Tumaini, ni miongoni mwa waimbaji wa injili wanatikisa kenya. Tumaini ambaye ni moja ya matunda ya mwali John Shabani, nyota yake imeonekana kung'aa huko Kenya hasa katika jiji la Nairobi kiasi kwamba kila hatua fulani lazima utakutana na pango lenye picha ya kijana huyo. Tumaini ni miongoni mwa wanafunzi wa John Shabani waliopatikana katika mashindana ya kusaka vipaji miaka kadhaa iliyopita jijini Dar es salaam na baadaye kuamia Nairobi Kenya.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP