15 April 2012

JE UNAMFAHAMU MDOGO WA MAREHEMU ANJELA CHIBALONZA

                                                              Tete Runiga Chibalonza.

Basi leo hii tunakutambulisha mwanadada Tete Runiga Chibalonza,mdogo wa marehemu Angela Chibalonza. Hivi sasa mwimbaji huyu anafanya vizuri katika anga za muziki wa injili. Ukisikia nyimbo zake na sauti yake kuna utofauti kidogo na dada yake jampo zinafana kwambali. Baadhi ya nyimbo anazotamba nazo ''NISHIKE MKONO'' pamoja na ''KUMBUKA MATENDO YA MUNGU''. Tutakujuza zaidi.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP