16 April 2012

JOHN SHABANI AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO KIJIJINI KIGOMA


Mwalimu wa nyimbo za Injili Afrika mashariki na kiongozi katika chama cha muziki wa injili Tanzania, amefiwa na Baba yake mzazi huko kijijini kwao Kigoma. John ameelekea kijijini kwao kwa ili kukutana na mama yake, bibi yake pamoja na baadhi ya ndugu zake. Hakika anahitaji maombi yako.Ikiwa utaguswa na chochote au hata kumpa pole, wasiliana naye kwa namba 0754818767, 0716 560094. Mungu akubariki

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP