18 April 2012

''UTAMU WA YESU'' WA ROSE MUHANDO WAZUA MJADALA KWENYE MTANDAO KUTOKANA NA UCHEZAJI WAKE





Uchezaji wa mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini  Rose Muhando pamoja na kundi lake katika wimbo wa ''UTAMU WA YESU''umeleta mjadala mkubwa miongoni mwa watu wanaoutazama wimbo huo kupitia mtandao wa youtube ambapo watu walioandika maoni yao kuhusiana na wimbo huo wamekuwa wakihoji kwanini mwimbaji huyo na kundi lake wamecheza kama watu wa dunia wanavyocheza katika miziki yao.

Watu hao wamekuwa wakifananisha uchezaji huo kama ndombolo(uchezaji wa kikongo)ambapo wameenda ndani zaidi kwakusema,haikustahili kwa mwimbaji huyo kucheza kama alivyofanya kwani haipendezi.Ambapo pia licha ya watu hao kuandika hayo mtu aliyeweka video hiyo aitwae ''indirimbozimana''amekuwa akifuta baadhi ya maoni ambayo watoaji maoni wamekuwa wakiandika vibaya zaidi,lakini pia baadhi ya watu wamekuwa wakiwaambia watu hao kama hawapendi namna wimbo huo ulivyoandaliwa basi wasiutazame kwani huo ndio utamu wenyewe nakuishia kumpongeza Rose Muhando kwa kazi yake njema.

Rose Muhando ni mwimbaji mwenye mafanikio makubwa kwa upande wa waimbaji binafsi wa muziki wa injili nchini tangu atoe album yake ya kwanza ya ''MTEULE UWE MACHO'' amekuwa juu wakati wote kupitia album zake na kupata mialiko mingi kutoka ndani na nje ya nchi ikiwemo Marekani,ambapo hivi karibuni aliingia mkataba na kampuni maarufu ya muziki duniani ya SONY ambayo imekuwa ikifanya kazi na waimbaji mbalimbali duniani,ambapo mwimbaji wa kwanza nchini kuingia mkataba na kampuni hiyo ni Upendo Kilahiro wakati huo akifanya shughuli zake za muziki nchini Afrika ya kusini.

story from Gospelkitaa


Uploaders' Comments ( indirimbozimana )

·                                 LOVELY PRAISE!, MAY GOD LIFT YOU HIGHER
·                  Thanks, So mUch friend!
~Indirimbozimana!
indirimbozimana in reply to Lucky Munene Mururu 3 days ago
·                                 upupu mtupu. does she praise the Lord or satan? she is more money oriented sorry to say it.
MsPoline21 3 weeks ago in playlist rose muhando
·                  She is Praising the Lord " the is the dances for 2012"
indirimbozimana in reply to MsPoline21 2 weeks ago
·                  no wonder because is how satan deceive people to believe people praise the Lord. Is that the way we supposed to dance to our Lord? is how David dance to God? what is the difference from the way Rose dance and other such as ndombolo or other Congo's style(way) of dances? think critically and let Holly spirit to talk with people
MsPoline21 in reply to indirimbozimana 2 weeks ago
·                  Ndombolo Ni Ya Shetani Sio Yamungu Mungu~
Mutu Wa Mungu Hawezi kuangalia Ndombolo
indirimbozimana in reply to MsPoline21 2 weeks ago

Top Comments

·                                 Ninyi mnagombana kuhusu Rose, sisi tunafurahia utamu wa Yesu. Whatever Rose is doing in her life is between her and God. Mimi nitachukua baraka kutoka kwenye wimbo huu na kuelekea kwangu.
Sashahon 1 week ago 
·                                 If u think u r wasting ur time, then don't watch her youtube music. You go looking for her music then u say she is singing for satan. Most people like her, she has the energy and she is singing like David. Rose is praising God and she is answerable to God. U dont have to appreciate her songs for her to get another album in the market!!!! Rose we like you go girl!!!!!!
ammgoc in reply to MsPoline21 (Show the comment) 2 weeks ago 

All Comments (57)

jasteve2
·                                 Hata afadhali Rose,David ali dance nguo zake zote zikaanguka chini,akaendelea ku dance uchi kabisa mchana.Yesu alifurahia sana sana kabisa.
xmotis 12 hours ago
·                                 wonderful gospel praise! Well done Rose, God bless you up! Your music has comforted me for years and was my main source of happy dancing for many years. Only Satan or a satanist will hate this kind of music.
Sundaysunny2 14 hours ago
·                                 I can play this song again and a gain coz its utamu wa yesu not any man , As you watch the song , remember the title is "Utamu wa yesu"
irenenthambi 14 hours ago
·                                 omg I love her <3
celestintheg 2 days ago
·                                 MsPoline21 wacha uchungu...u can go jump into the lake or cry
goldfromclay1 in reply to MsPoline21 (Show the comment) 3 days ago
·                                 is what am doing then!!!!
MsPoline21 in reply to pakinyi (Show the comment) 5 days ago
·                                 don't watch her music then!
pakinyi in reply to MsPoline21 (Show the comment) 6 days ago in playlist rose muhando

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP