15 October 2012

RAIS JK ATEMBELEA KANISA LILILOSHAMBULIWA NA WAISLAMU MBAGALA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
  Mawe yametoboa vioo vingi
 Ofisi ya Kanisa imechomwa moto









0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP