11 October 2012

TUMAINI CHOIR - ST. JAMES ARUSHA, KWAYA KONGWE ISIYOPOTEZA HESHIMA NA UMAARUFU WAKE





Kwaya hii inapatikana katika kanisa laki anglikani maarufu kama  St. James Arusha. Hakika unapotaja kwaya maarufu Afrika Mashariki na kati basi jina la Tumaini Shangilieni Kwaya lazima liwemo.

Tuendelee kwaombea.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP